JamiiForums

JamiiForums

clock38 days ago
{TRUMP: MAREKANI IPO TAYARI KUJIBU MASHAMBULIO YALIYOFANYWA NCHINI SAUDI ARABIA
-
Wakati Marekani ikiendelea kuilaumu Iran kwa mashambulio yaliyofanywa kwenye miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia, Rais Trump amesema nchi yake iko tayari kujibu mashambulizi
-
Rais Trump amesema "Usambazaji mafuta wa Saudi Arabia umeshambuliwa. Kuna sababu ya kuamini kwamba tunamjua mhusika, tuko tayari kabisa kulipiza."
-
Ameongeza, "Malipizo hayo yatafanyika kwa kutegemea na uthibitisho lakini tunasubiri Saudi Arabia iseme inayeamini ndiye mhusika wa shambulizi hili."
-
Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wamedai kuhusika kushambulia visima viwili vya mafuta vya Saudi Arabia, lakini Marekani imesema hakuna ushahidi kuwa mashambulizi hayo yalitokea Yemen
-
Iran imekasirishwa na kauli hiyo ya Marekani na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Mousavi amesema madai hayo yasiyo na uelekeo hayana maana != null ? TRUMP: MAREKANI IPO TAYARI KUJIBU MASHAMBULIO YALIYOFANYWA NCHINI SAUDI ARABIA
-
Wakati Marekani ikiendelea kuilaumu Iran kwa mashambulio yaliyofanywa kwenye miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia, Rais Trump amesema nchi yake iko tayari kujibu mashambulizi
-
Rais Trump amesema "Usambazaji mafuta wa Saudi Arabia umeshambuliwa. Kuna sababu ya kuamini kwamba tunamjua mhusika, tuko tayari kabisa kulipiza."
-
Ameongeza, "Malipizo hayo yatafanyika kwa kutegemea na uthibitisho lakini tunasubiri Saudi Arabia iseme inayeamini ndiye mhusika wa shambulizi hili."
-
Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wamedai kuhusika kushambulia visima viwili vya mafuta vya Saudi Arabia, lakini Marekani imesema hakuna ushahidi kuwa mashambulizi hayo yalitokea Yemen
-
Iran imekasirishwa na kauli hiyo ya Marekani na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Mousavi amesema madai hayo yasiyo na uelekeo hayana maana : JamiiForums}

TRUMP: MAREKANI IPO TAYARI KUJIBU MASHAMBULIO YALIYOFANYWA NCHINI SAUDI ARABIA - Wakati Marekani ikiendelea kuilaumu Iran kwa mashambulio yaliyofanywa kwenye miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia, Rais Trump amesema nchi yake iko tayari kujibu mashambulizi - Rais Trump amesema "Usambazaji mafuta wa Saudi Arabia umeshambuliwa. Kuna sababu ya kuamini kwamba tunamjua mhusika, tuko tayari kabisa kulipiza." - Ameongeza, "Malipizo hayo yatafanyika kwa kutegemea na uthibitisho lakini tunasubiri Saudi Arabia iseme inayeamini ndiye mhusika wa shambulizi hili." - Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wamedai kuhusika kushambulia visima viwili vya mafuta vya Saudi Arabia, lakini Marekani imesema hakuna ushahidi kuwa mashambulizi hayo yalitokea Yemen - Iran imekasirishwa na kauli hiyo ya Marekani na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Mousavi amesema madai hayo yasiyo na uelekeo hayana maana

 • Abraham A

  clock38 days ago

  This is really unlike what people say, I really find bitcoin mining interesting and profitable although it’s much accepted other than getting scammed, I’m glad I was introduced to @barbara_linda345 I was able to earn $3790 with $500 worth of bitcoin.

 • RamsoWaramso

  clock38 days ago

  Ninacho hisi mimi Marekani inatafuta sababu ya kuigombanisha Iran na majirani zake kidiplomasia ili apate paki ya kuishambulia kiukaribu Iran. Hayo matukio yote yanapangwa na Marekani.

 • RamsoWaramso

  clock38 days ago

  Ndio maana kunamwezi wa kimataifa Saudis kumbe inaongozwa na Marekani

 • clock38 days ago

  Mtu hana visima lakini ana mafuta ya kuiuzia dunia hivi mungu anayaona haya?

 • anethlyinga

  clock38 days ago

  Hawa nao wanakiherehere kila siku wachokozwe wao tu🙌

 • samwel massawe

  clock38 days ago

  Wapigane tupate cha kuangalia maana dunia imepoa saaaana!

 • Gagalino Himiri.

  clock38 days ago

  Mmarekani siku zote ni mgombanishi yeye anaaribu Amani ya dunia kila siku...amegombanisha nchi nyingi za uharabuni wanauwana anaona Raha? Sasa ugomvi huu yeye unamuusu nini.Shida yake wagombane kisha achukue mafuta

 • Haji Adam

  clock38 days ago

  Mambo ya paka na panya Beberu yanakuhusu nini? ! Dah

 • Radhia Salum

  clock38 days ago

  Aya wasudia kama mmechoka kuvaa makanzu msikilizeni mmarekani mkavae vipesi😂

 • Golden Omy Mjema

  clock37 days ago

  September 11 nyengine. Wanajibomoa wengewe alf wanataka wapate sababu ya kumpiga mtu..

 • Kibanda Abdillah

  clock37 days ago

  kwan marekan wana shida gan na hawa ndugu zetu wa Iran? waache kuwahangaisha bhana, kila taifa libak na uhuru wake!!

 • seleman bakal

  clock37 days ago

  Unajua nyinyi wasaudia msiwe wadhaifu mkataka kutawaliwa na mtu kitoto namna hiyo hamuwezi kumrusu mtu aje awagombanishe na ndugu yako na wewe unamsikiliza hao wanawagombanisha ili mpigane na yeye aingie achukue vya kuchukua akipata anavyovitaka anakaa pembeni na kujifanya msulihishaji acheni vurugu

 • Michael Kivaria. 🔷

  clock37 days ago

  Kiukweli siwezi nikamlaumu ooh sijui marekani ni shetani sijui anaonea dunia hii ni kuishi kwa ujanja kama mwenzako kafanikiwa kwa kutumia akili na wewe pambana siyo kulalamika

 • hashim issa kiety

  clock35 days ago

  Marekani ndie anaepanga njama zote hizo, ninamini uharibifu uliotokea Saudi Arabia umefanywa na Marekani ,na anauhadaa ulimwengu kuwa ni Iran , kama tulivyoona Yale ya IRAQ ,anachotaka Marekani ni 1- Mafuta(hata wakifa maelfu ya watu) 2- Kuilinda ISRAEl kwa gharama yoyote isiwe na tishio mashariki ya Kati.