}

  • Post

    17K
  • Following

    7
  • Followers

    2.06M

Selfieus © 2019 All rights reserved.      

Story

JamiiForums

JamiiForums

clock5 hours ago
{UEFA: CHELSEA YANG’ARA UGENINI
-
Goli pekee lililofungwa na Michy Batshuayi katika dakika ya 86 limeipa ushindi wa goli moja ugenini dhidi ya Klabu ya Ajax Amsterdam
-
#uefachampionsleague != null ? UEFA: CHELSEA YANG’ARA UGENINI
-
Goli pekee lililofungwa na Michy Batshuayi katika dakika ya 86 limeipa ushindi wa goli moja ugenini dhidi ya Klabu ya Ajax Amsterdam
-
#uefachampionsleague : JamiiForums}

UEFA: CHELSEA YANG’ARA UGENINI - Goli pekee lililofungwa na Michy Batshuayi katika dakika ya 86 limeipa ushindi wa goli moja ugenini dhidi ya Klabu ya Ajax Amsterdam - #uefachampionsleague

JamiiForums

JamiiForums

clock5 hours ago
{UEFA: MBWANA SAMATTA KUINGOZA KRC GENKI DHIDI YA LIVERPOOL FC
-
Samatta ambaye ni nahodha wa Taifa Stars anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya klabu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji katika mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 4:00 usiku wa leo
-
Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool unatarajiwa kuwa na msisimko wa pekee kutokana na kiu ya Watanzania kuona namna Samatta atakavyochuana na beki bora duniani kwa sasa, Virgil van Dijk.
-
Samatta anategemewa katika idara ya ushambuliaji ya KRC Genk, atakuwa na kibarua kizito mbele ya beki huyo ambaye amekuwa nguzo ya Liverpool kwenye safu yao ya ulinzi, akishirikiana na Joël Matip.

Je, Van Dijk ataweza kuzuia moto wa Samatta? != null ? UEFA: MBWANA SAMATTA KUINGOZA KRC GENKI DHIDI YA LIVERPOOL FC
-
Samatta ambaye ni nahodha wa Taifa Stars anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya klabu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji katika mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 4:00 usiku wa leo
-
Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool unatarajiwa kuwa na msisimko wa pekee kutokana na kiu ya Watanzania kuona namna Samatta atakavyochuana na beki bora duniani kwa sasa, Virgil van Dijk.
-
Samatta anategemewa katika idara ya ushambuliaji ya KRC Genk, atakuwa na kibarua kizito mbele ya beki huyo ambaye amekuwa nguzo ya Liverpool kwenye safu yao ya ulinzi, akishirikiana na Joël Matip.

Je, Van Dijk ataweza kuzuia moto wa Samatta? : JamiiForums}

UEFA: MBWANA SAMATTA KUINGOZA KRC GENKI DHIDI YA LIVERPOOL FC - Samatta ambaye ni nahodha wa Taifa Stars anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya klabu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji katika mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 4:00 usiku wa leo - Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool unatarajiwa kuwa na msisimko wa pekee kutokana na kiu ya Watanzania kuona namna Samatta atakavyochuana na beki bora duniani kwa sasa, Virgil van Dijk. - Samatta anategemewa katika idara ya ushambuliaji ya KRC Genk, atakuwa na kibarua kizito mbele ya beki huyo ambaye amekuwa nguzo ya Liverpool kwenye safu yao ya ulinzi, akishirikiana na Joël Matip. Je, Van Dijk ataweza kuzuia moto wa Samatta?

JamiiForums

JamiiForums

clock6 hours ago
{MAADHIMISHO WA SIKU YA JAMHURI: RAIA WA KENYA KUPITIA 'YOUTUBE' WAONESHA KUKERWA NA UCHAKAVU WA NDEGE ZAO ZA JESHI
-
Wananchi wa taifa hilo kupitia mtandao wa 'YouTube' wameonesha kukasirishwa na kile walichodai kuwa ndege za vita za nchi hiyo ni chakavu
-
Bila ya kuficha wameitupia lawama Serikali yao kwa kushindwa kununua ndege mpya na za kisasa licha ya fedha kuwepo
-
Wapo waliolituhumu Jeshi lao kwa rushwa na kudai linashindwa kufanya matumizi sahihi ya fedha != null ? MAADHIMISHO WA SIKU YA JAMHURI: RAIA WA KENYA KUPITIA 'YOUTUBE' WAONESHA KUKERWA NA UCHAKAVU WA NDEGE ZAO ZA JESHI
-
Wananchi wa taifa hilo kupitia mtandao wa 'YouTube' wameonesha kukasirishwa na kile walichodai kuwa ndege za vita za nchi hiyo ni chakavu
-
Bila ya kuficha wameitupia lawama Serikali yao kwa kushindwa kununua ndege mpya na za kisasa licha ya fedha kuwepo
-
Wapo waliolituhumu Jeshi lao kwa rushwa na kudai linashindwa kufanya matumizi sahihi ya fedha : JamiiForums}

MAADHIMISHO WA SIKU YA JAMHURI: RAIA WA KENYA KUPITIA 'YOUTUBE' WAONESHA KUKERWA NA UCHAKAVU WA NDEGE ZAO ZA JESHI - Wananchi wa taifa hilo kupitia mtandao wa 'YouTube' wameonesha kukasirishwa na kile walichodai kuwa ndege za vita za nchi hiyo ni chakavu - Bila ya kuficha wameitupia lawama Serikali yao kwa kushindwa kununua ndege mpya na za kisasa licha ya fedha kuwepo - Wapo waliolituhumu Jeshi lao kwa rushwa na kudai linashindwa kufanya matumizi sahihi ya fedha

JamiiForums

JamiiForums

clock6 hours ago
{TANZIA: MWANASIASA MKONGWE NA MWANZILISHI WA CHAMA CHA CUF AFARIKI DUNIA
-
Mzee James Mapalala amefariki dunia leo katika hospitali ya Kairuki alikokuwa amelazwa kwa wiki 2 akipatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa na maradhi katika mfumo wa upumuaji
-
James Mapalala alizaliwa mnamo, Februari 1 mwaka 1936. Mtoto wake, Bernard James amesema Baba yake amefariki dunia alfajiri ya leo na msiba uko nyumbani kwao maeneo ya Kinondoni
-
Alianza harakati za siasa mnamo mwaka 1968 wakati huo != null ? TANZIA: MWANASIASA MKONGWE NA MWANZILISHI WA CHAMA CHA CUF AFARIKI DUNIA
-
Mzee James Mapalala amefariki dunia leo katika hospitali ya Kairuki alikokuwa amelazwa kwa wiki 2 akipatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa na maradhi katika mfumo wa upumuaji
-
James Mapalala alizaliwa mnamo, Februari 1 mwaka 1936. Mtoto wake, Bernard James amesema Baba yake amefariki dunia alfajiri ya leo na msiba uko nyumbani kwao maeneo ya Kinondoni
-
Alianza harakati za siasa mnamo mwaka 1968 wakati huo : JamiiForums}

TANZIA: MWANASIASA MKONGWE NA MWANZILISHI WA CHAMA CHA CUF AFARIKI DUNIA - Mzee James Mapalala amefariki dunia leo katika hospitali ya Kairuki alikokuwa amelazwa kwa wiki 2 akipatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa na maradhi katika mfumo wa upumuaji - James Mapalala alizaliwa mnamo, Februari 1 mwaka 1936. Mtoto wake, Bernard James amesema Baba yake amefariki dunia alfajiri ya leo na msiba uko nyumbani kwao maeneo ya Kinondoni - Alianza harakati za siasa mnamo mwaka 1968 wakati huo

JamiiForums

JamiiForums

clock7 hours ago
{NI KWELI KUNA WATU UKIWA NAO KIMAPENZI HULETA MIKOSI/NUKSI?
-
Kumekua na kasumba au dhana fulani ambayo imejengeka katika jamii kuwa kuna watu ukiwa nao kwenye mahusiano basi wanaweza kukusababishia mikosi au nuksi
-
Mfano, mwanaume unaweza ukawa upo vizuri kiuchumi ikatokea ukaingia kwenye mahusiano na mwanamke fulani baada ya muda unajikuta unaanza kufilisika na mambo kuanza kukwama hali inayokupelekea kuhisi labda mtu ulienae ndio kisababishi. Na kwa wanawake pia kinyume chake
-
Yawezekana umewahi kusikia hii kitu au wengine imewahi kuwatokea. Tupeni uzoefu katika hili. Je, hii hali ipo kweli au porojo? != null ? NI KWELI KUNA WATU UKIWA NAO KIMAPENZI HULETA MIKOSI/NUKSI?
-
Kumekua na kasumba au dhana fulani ambayo imejengeka katika jamii kuwa kuna watu ukiwa nao kwenye mahusiano basi wanaweza kukusababishia mikosi au nuksi
-
Mfano, mwanaume unaweza ukawa upo vizuri kiuchumi ikatokea ukaingia kwenye mahusiano na mwanamke fulani baada ya muda unajikuta unaanza kufilisika na mambo kuanza kukwama hali inayokupelekea kuhisi labda mtu ulienae ndio kisababishi. Na kwa wanawake pia kinyume chake
-
Yawezekana umewahi kusikia hii kitu au wengine imewahi kuwatokea. Tupeni uzoefu katika hili. Je, hii hali ipo kweli au porojo? : JamiiForums}

NI KWELI KUNA WATU UKIWA NAO KIMAPENZI HULETA MIKOSI/NUKSI? - Kumekua na kasumba au dhana fulani ambayo imejengeka katika jamii kuwa kuna watu ukiwa nao kwenye mahusiano basi wanaweza kukusababishia mikosi au nuksi - Mfano, mwanaume unaweza ukawa upo vizuri kiuchumi ikatokea ukaingia kwenye mahusiano na mwanamke fulani baada ya muda unajikuta unaanza kufilisika na mambo kuanza kukwama hali inayokupelekea kuhisi labda mtu ulienae ndio kisababishi. Na kwa wanawake pia kinyume chake - Yawezekana umewahi kusikia hii kitu au wengine imewahi kuwatokea. Tupeni uzoefu katika hili. Je, hii hali ipo kweli au porojo?

JamiiForums

JamiiForums

clock7 hours ago
{ISRAELI: WAZIRI MKUU, BENJAMIN NETANYAHU AKWAMA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
-
Netanyahu ametangaza kushindwa kuendesha mchakato huo na kulazimika kurudisha mamlaka hayo kwa Rais wa nchi hiyo, Reuven Rivlin
-
Netanyahu ameshindwa kumshawishi kiongozi wa Chama cha Blue and White, Benny Gantz ili waweze kuunda Serikali ya Mseto
-
Hata hivyo, Rais Rivlin amepanga kumpa nafasi ya kuunda Baraza la Mawaziri, Benny Gantz ndani ya siku 28 != null ? ISRAELI: WAZIRI MKUU, BENJAMIN NETANYAHU AKWAMA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
-
Netanyahu ametangaza kushindwa kuendesha mchakato huo na kulazimika kurudisha mamlaka hayo kwa Rais wa nchi hiyo, Reuven Rivlin
-
Netanyahu ameshindwa kumshawishi kiongozi wa Chama cha Blue and White, Benny Gantz ili waweze kuunda Serikali ya Mseto
-
Hata hivyo, Rais Rivlin amepanga kumpa nafasi ya kuunda Baraza la Mawaziri, Benny Gantz ndani ya siku 28 : JamiiForums}

ISRAELI: WAZIRI MKUU, BENJAMIN NETANYAHU AKWAMA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI - Netanyahu ametangaza kushindwa kuendesha mchakato huo na kulazimika kurudisha mamlaka hayo kwa Rais wa nchi hiyo, Reuven Rivlin - Netanyahu ameshindwa kumshawishi kiongozi wa Chama cha Blue and White, Benny Gantz ili waweze kuunda Serikali ya Mseto - Hata hivyo, Rais Rivlin amepanga kumpa nafasi ya kuunda Baraza la Mawaziri, Benny Gantz ndani ya siku 28

JamiiForums

JamiiForums

clock9 hours ago
{MAHAKAMA YA RUFAA YAKUBALIANA NA MAHAKAMA KUU KUWA VIFUNGU 13 NA 17 VYA SHERIA YA NDOA VIKO KINYUME NA KATIBA
-
Uamuzi huo unamaanisha kuwa Mtoto wa Kike na Wakiume anapaswa kufikisha miaka 18 ndipo aweze kuingia katika maisha ya ndoa. Kesi hii ilifunguliwa na Mwanaharakati Rebecca Gyumi
-
Kesi hii ilifunguliwa kwa msingi kuwa vifungu hivi vya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 vimepitwa na wakati na ni kandamizi hasa kwa Mtoto wa Kike
-
Serikali ilijaribu kupinga na hata kufungua kesi Mahakama ya Rufaa ili kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu != null ? MAHAKAMA YA RUFAA YAKUBALIANA NA MAHAKAMA KUU KUWA VIFUNGU 13 NA 17 VYA SHERIA YA NDOA VIKO KINYUME NA KATIBA
-
Uamuzi huo unamaanisha kuwa Mtoto wa Kike na Wakiume anapaswa kufikisha miaka 18 ndipo aweze kuingia katika maisha ya ndoa. Kesi hii ilifunguliwa na Mwanaharakati Rebecca Gyumi
-
Kesi hii ilifunguliwa kwa msingi kuwa vifungu hivi vya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 vimepitwa na wakati na ni kandamizi hasa kwa Mtoto wa Kike
-
Serikali ilijaribu kupinga na hata kufungua kesi Mahakama ya Rufaa ili kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu : JamiiForums}

MAHAKAMA YA RUFAA YAKUBALIANA NA MAHAKAMA KUU KUWA VIFUNGU 13 NA 17 VYA SHERIA YA NDOA VIKO KINYUME NA KATIBA - Uamuzi huo unamaanisha kuwa Mtoto wa Kike na Wakiume anapaswa kufikisha miaka 18 ndipo aweze kuingia katika maisha ya ndoa. Kesi hii ilifunguliwa na Mwanaharakati Rebecca Gyumi - Kesi hii ilifunguliwa kwa msingi kuwa vifungu hivi vya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 vimepitwa na wakati na ni kandamizi hasa kwa Mtoto wa Kike - Serikali ilijaribu kupinga na hata kufungua kesi Mahakama ya Rufaa ili kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu

JamiiForums

JamiiForums

clock10 hours ago
{WB: KWA MUONGO 1 UCHUMI WA TANZANIA UMEKUWA UKIIMARIKA NA PATO LA TAIFA LIKIKUA
-
Takwimu za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa Pato la Taifa wa wastani wa asilimia 8
-
Kwa mujibu wa takwimu hizo, Tanzania imehakikisha pia ukuaji wa ajira rasmi na zisizo rasmi unabaki katika kiwango kizuri kikiwa kwenye wastani wa asilimia 1.9
-
Mafanikio hayo yanaelezwa kuchangiwa kwa kiasi fulani na Sekta Binafsi na biashara ambayo ni mihimili katika sekta hiyo ikijumuisha Teknolojia, ujenzi na mawasiliano
-
Inaelezwa Sekta ya Mawasiliano imekuwa ikitoa ajira kupitia maeneo mbalimbali kama vile mawakala wa fedha, wasambazaji na wauzaji wa huduma za simu, wataalamu wa huduma kwa wateja na wengineo != null ? WB: KWA MUONGO 1 UCHUMI WA TANZANIA UMEKUWA UKIIMARIKA NA PATO LA TAIFA LIKIKUA
-
Takwimu za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa Pato la Taifa wa wastani wa asilimia 8
-
Kwa mujibu wa takwimu hizo, Tanzania imehakikisha pia ukuaji wa ajira rasmi na zisizo rasmi unabaki katika kiwango kizuri kikiwa kwenye wastani wa asilimia 1.9
-
Mafanikio hayo yanaelezwa kuchangiwa kwa kiasi fulani na Sekta Binafsi na biashara ambayo ni mihimili katika sekta hiyo ikijumuisha Teknolojia, ujenzi na mawasiliano
-
Inaelezwa Sekta ya Mawasiliano imekuwa ikitoa ajira kupitia maeneo mbalimbali kama vile mawakala wa fedha, wasambazaji na wauzaji wa huduma za simu, wataalamu wa huduma kwa wateja na wengineo : JamiiForums}

WB: KWA MUONGO 1 UCHUMI WA TANZANIA UMEKUWA UKIIMARIKA NA PATO LA TAIFA LIKIKUA - Takwimu za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa Pato la Taifa wa wastani wa asilimia 8 - Kwa mujibu wa takwimu hizo, Tanzania imehakikisha pia ukuaji wa ajira rasmi na zisizo rasmi unabaki katika kiwango kizuri kikiwa kwenye wastani wa asilimia 1.9 - Mafanikio hayo yanaelezwa kuchangiwa kwa kiasi fulani na Sekta Binafsi na biashara ambayo ni mihimili katika sekta hiyo ikijumuisha Teknolojia, ujenzi na mawasiliano - Inaelezwa Sekta ya Mawasiliano imekuwa ikitoa ajira kupitia maeneo mbalimbali kama vile mawakala wa fedha, wasambazaji na wauzaji wa huduma za simu, wataalamu wa huduma kwa wateja na wengineo

JamiiForums

JamiiForums

clock10 hours ago
{MFUMO WA MAWASILIANO YA INTANETI UNAOPITA CHINI YA BAHARI WAPATA HITILAFU, TANZANIA HAIJAATHIRIKA
-
Mfumo wa mawasiliano unapita chini ya bahari unaziunganisha nchi mbalimbali za Bara la Afrika wazima. Mfumo huo unaendeshwa na kampuni ya Seacom umepata hitilafu usiku wa kuamkia leo
-
Tatizo limetokea katika eneo la Mombasa nchini Kenya na Zafarana nchini Misri lakini mpaka sasa haijaelezwa nini hasa ndio chanzo cha kutokea kwa tatizo hilo
-
Nchi za Pwani ya Afrika Mashariki na baadhi ya nchi za Ulaya zimeathirika kutokana na hitilafu hiyo kwenye mfumo wa intaneti
-
Aidha, watumiaji wenye namba ya utambulisho kutokea Dar es Salaam na Afrika Kusini hawajaathirika ingawa wataona mabadiliko kidogo tofauti na walivyozoea != null ? MFUMO WA MAWASILIANO YA INTANETI UNAOPITA CHINI YA BAHARI WAPATA HITILAFU, TANZANIA HAIJAATHIRIKA
-
Mfumo wa mawasiliano unapita chini ya bahari unaziunganisha nchi mbalimbali za Bara la Afrika wazima. Mfumo huo unaendeshwa na kampuni ya Seacom umepata hitilafu usiku wa kuamkia leo
-
Tatizo limetokea katika eneo la Mombasa nchini Kenya na Zafarana nchini Misri lakini mpaka sasa haijaelezwa nini hasa ndio chanzo cha kutokea kwa tatizo hilo
-
Nchi za Pwani ya Afrika Mashariki na baadhi ya nchi za Ulaya zimeathirika kutokana na hitilafu hiyo kwenye mfumo wa intaneti
-
Aidha, watumiaji wenye namba ya utambulisho kutokea Dar es Salaam na Afrika Kusini hawajaathirika ingawa wataona mabadiliko kidogo tofauti na walivyozoea : JamiiForums}

MFUMO WA MAWASILIANO YA INTANETI UNAOPITA CHINI YA BAHARI WAPATA HITILAFU, TANZANIA HAIJAATHIRIKA - Mfumo wa mawasiliano unapita chini ya bahari unaziunganisha nchi mbalimbali za Bara la Afrika wazima. Mfumo huo unaendeshwa na kampuni ya Seacom umepata hitilafu usiku wa kuamkia leo - Tatizo limetokea katika eneo la Mombasa nchini Kenya na Zafarana nchini Misri lakini mpaka sasa haijaelezwa nini hasa ndio chanzo cha kutokea kwa tatizo hilo - Nchi za Pwani ya Afrika Mashariki na baadhi ya nchi za Ulaya zimeathirika kutokana na hitilafu hiyo kwenye mfumo wa intaneti - Aidha, watumiaji wenye namba ya utambulisho kutokea Dar es Salaam na Afrika Kusini hawajaathirika ingawa wataona mabadiliko kidogo tofauti na walivyozoea

JamiiForums

JamiiForums

clock10 hours ago
{RWANDA YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA KUPAMBANA NA UKIMWI
-
Utafiti uliofanywa umeonesha nchi hiyo imepiga hatua kubwa katika kutimiza lengo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (UNAIDS) la 90-90-90 ambalo linasaidia kumaliza maambukizi ya ugonjwa huo
-
Tathmini iliyotolewa juu ya Athari za UKIMWI katika Jamii nchini Rwanda imeonesha kuwa, asilimia 84 ya watu wote wanaoishi na VVU wanafahamu hali zao
-
Aidha, asilimia 98 ya waliokutwa na maambukizi wanapata dawa ya kupunguza makali na asilimia 90 ya wanaotumia dawa hizo hawapati magonjwa yanayotokana na mfumo wa hewa, hivyo kufikia 84-98-90 ya lengo lililowekwa na UNAIDS mwaka 2014
-
Takriban Wanyarwanda 210,200 wenye miaka 15 -64 wanaishi na VVU != null ? RWANDA YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA KUPAMBANA NA UKIMWI
-
Utafiti uliofanywa umeonesha nchi hiyo imepiga hatua kubwa katika kutimiza lengo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (UNAIDS) la 90-90-90 ambalo linasaidia kumaliza maambukizi ya ugonjwa huo
-
Tathmini iliyotolewa juu ya Athari za UKIMWI katika Jamii nchini Rwanda imeonesha kuwa, asilimia 84 ya watu wote wanaoishi na VVU wanafahamu hali zao
-
Aidha, asilimia 98 ya waliokutwa na maambukizi wanapata dawa ya kupunguza makali na asilimia 90 ya wanaotumia dawa hizo hawapati magonjwa yanayotokana na mfumo wa hewa, hivyo kufikia 84-98-90 ya lengo lililowekwa na UNAIDS mwaka 2014
-
Takriban Wanyarwanda 210,200 wenye miaka 15 -64 wanaishi na VVU : JamiiForums}

RWANDA YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA KUPAMBANA NA UKIMWI - Utafiti uliofanywa umeonesha nchi hiyo imepiga hatua kubwa katika kutimiza lengo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (UNAIDS) la 90-90-90 ambalo linasaidia kumaliza maambukizi ya ugonjwa huo - Tathmini iliyotolewa juu ya Athari za UKIMWI katika Jamii nchini Rwanda imeonesha kuwa, asilimia 84 ya watu wote wanaoishi na VVU wanafahamu hali zao - Aidha, asilimia 98 ya waliokutwa na maambukizi wanapata dawa ya kupunguza makali na asilimia 90 ya wanaotumia dawa hizo hawapati magonjwa yanayotokana na mfumo wa hewa, hivyo kufikia 84-98-90 ya lengo lililowekwa na UNAIDS mwaka 2014 - Takriban Wanyarwanda 210,200 wenye miaka 15 -64 wanaishi na VVU

JamiiForums

JamiiForums

clock11 hours ago
{TANZANIA YATANGAZA KUIUNGA MKONO CHINA KWENYE MGOGORO WAKE NA JIMBO HONG KONG
-
Serikali kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Augustine Mahiga ametoa kauli hiyo katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini
-
Dtk. Mahiga amesema kuwa mgogoro huo unachochewa zaidi ya vyombo vya habari vya mataifa makubwa ya Magharibi hasa kwa kurusha maandamano ya Hong Kong
-
Ameongeza kuwa Tanzania itahakikisha uhusiano wake na China kwasababu taifa hilo lilishiriki kikamilifu kuanzisha Jeshi la Wananchi wa Tanzania mnamo mwaka 1964 != null ? TANZANIA YATANGAZA KUIUNGA MKONO CHINA KWENYE MGOGORO WAKE NA JIMBO HONG KONG
-
Serikali kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Augustine Mahiga ametoa kauli hiyo katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini
-
Dtk. Mahiga amesema kuwa mgogoro huo unachochewa zaidi ya vyombo vya habari vya mataifa makubwa ya Magharibi hasa kwa kurusha maandamano ya Hong Kong
-
Ameongeza kuwa Tanzania itahakikisha uhusiano wake na China kwasababu taifa hilo lilishiriki kikamilifu kuanzisha Jeshi la Wananchi wa Tanzania mnamo mwaka 1964 : JamiiForums}

TANZANIA YATANGAZA KUIUNGA MKONO CHINA KWENYE MGOGORO WAKE NA JIMBO HONG KONG - Serikali kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Augustine Mahiga ametoa kauli hiyo katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini - Dtk. Mahiga amesema kuwa mgogoro huo unachochewa zaidi ya vyombo vya habari vya mataifa makubwa ya Magharibi hasa kwa kurusha maandamano ya Hong Kong - Ameongeza kuwa Tanzania itahakikisha uhusiano wake na China kwasababu taifa hilo lilishiriki kikamilifu kuanzisha Jeshi la Wananchi wa Tanzania mnamo mwaka 1964

JamiiForums

JamiiForums

clock12 hours ago
{WAASI KUMI NA NNE WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAGHARIBI MWA BURUNDI
-
Vikosi vya Serikali ya Burundi vimewaua Waasi 14 na kukamata bunduki 11, baada ya kuzuka kwa mapigano makali katika Wilaya ya Musigasi
-
Taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Burundi imeeleza kuwa, Waasi waliouawa ni wa kikundi cha Red–Tabara ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikiupinga uongozi wa Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo
-
Vikundi vya Waasi vya Red–Tabara, FNL-Nzabampema na Forebu ni miongoni mwa vikundi ambavyo vimekuwa vikifanya uasi katika eneo la Mashariki la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na mara kadhaa vimekua vikivuka mpaka na kuingia Burundi != null ? WAASI KUMI NA NNE WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAGHARIBI MWA BURUNDI
-
Vikosi vya Serikali ya Burundi vimewaua Waasi 14 na kukamata bunduki 11, baada ya kuzuka kwa mapigano makali katika Wilaya ya Musigasi
-
Taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Burundi imeeleza kuwa, Waasi waliouawa ni wa kikundi cha Red–Tabara ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikiupinga uongozi wa Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo
-
Vikundi vya Waasi vya Red–Tabara, FNL-Nzabampema na Forebu ni miongoni mwa vikundi ambavyo vimekuwa vikifanya uasi katika eneo la Mashariki la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na mara kadhaa vimekua vikivuka mpaka na kuingia Burundi : JamiiForums}

WAASI KUMI NA NNE WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAGHARIBI MWA BURUNDI - Vikosi vya Serikali ya Burundi vimewaua Waasi 14 na kukamata bunduki 11, baada ya kuzuka kwa mapigano makali katika Wilaya ya Musigasi - Taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Burundi imeeleza kuwa, Waasi waliouawa ni wa kikundi cha Red–Tabara ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikiupinga uongozi wa Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo - Vikundi vya Waasi vya Red–Tabara, FNL-Nzabampema na Forebu ni miongoni mwa vikundi ambavyo vimekuwa vikifanya uasi katika eneo la Mashariki la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na mara kadhaa vimekua vikivuka mpaka na kuingia Burundi